Y
Yamoyoni
Confessions

Free reads reached. Resets 2 hours from now.
Daily limit reached Resets 2 hours from now

You've reached the free browsing limit. Check back tomorrow or grab the mobile app once it drops. Thanks for keeping the community thriving.

Published 1 month ago πŸ‘ 100 πŸ’¬ 1

Naona numoenea mume wangu kwa kuchepuka sana na huyu mwanaume wa pembeni anaitwa Robert, nimeamua kutaja jina lake la kwanza ili mnielewe. yani mume wangu ni mpole na mkarimu lakini najiona shetani, sijui nifanyeje.. Mimi ni mwanamke mia...

Published 2 months ago πŸ‘ 185 πŸ’¬ 1

Jamani yaliyonikuta hapana kweli, ni majonzi majonzi na sijui nifanyaje, mimi ni mwanamke na nina miaka 43 sasa na nina watoto watatu niliowahi kuzaa. sasa ipo hivi, kipindi nipo shule mdogo mdogo nilipata ujauzito, ikanisumbua sana na hali...

Published 2 months ago πŸ‘ 224 πŸ’¬ 1

Habari familia... tafadhali, nahitaji ushauri. Mimi ni mwanaume niliyeoa, nina umri wa miaka 43. Kwa miezi michache sasa, nilianza mahusiano ya siri na wasichana wadogo wa pembeni, kwa ajili ya kupumzika. πŸ’”Yule ni...

Published 2 months ago πŸ‘ 191 πŸ’¬ 0

Mimi ni mama mwenye watoto watatu na nina umri wa miaka 38. Mwaka 2018 nilimpoteza mwanaume wangu mzuri aliyekua mpambanaji sana na muwajibikaji haswa, na mpaka anafariki, alituachia nyumba mbili, moja tunakaa na nyingine tumeipangisha. Ali...

Published 2 months ago πŸ‘ 176 πŸ’¬ 0

Habari jamani, wacha niende moja kwa moja, mimi na mwanamke na nimeolewa, na nina rafiki yangu tunashibana sana lakini nilikuja kugundua kitu ila nashindwa nafanyaje kuhusu hilo jambo, yaani iko hivi. Yani hivi kari...

Published 2 months ago πŸ‘ 189 πŸ’¬ 1

Wazima jamani, nimekuja hapa na simulizi yangu nataka niwasimulie, jinsi ilivyonifanya nijione sina bahati ya mapenzi. nilikutana na huyu kaka, ndo yalikua mahusiano yangu ya kwanza kabisa. Huyu kaka yeye alikua amemaliza c...

Published 2 months ago πŸ‘ 193 πŸ’¬ 1

Habari, mimi na msichana wa miaka 20, sijui nianzie wapi, naumia sana sana, lakini naamini kwenu naweza pata faraja. Natokea mkoa wa kagera na nilikuja Dar kufanya kazi za ndani, nipo maeneo ya mbagala kwa sasa ambapo ndo ninapofanyia kazi....

Published 3 months ago πŸ‘ 252 πŸ’¬ 0

Nina umri wa miaka 39 na nimekuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka miwili hivi. Kitu pekee nilichofanya ni kumpenda mke wangu kwa dhati. Nilimpenda zaidi alipobeba ujauzito. Lakini nilishtuka na kuvunjika moyo sana nilipoona mtoto wetu ana ng...

Published 3 months ago πŸ‘ 180 πŸ’¬ 0

Miaka mitano iliyopita, maisha yangu yalibadilika ghafla. Mwanangu aliyekuwa kijana alikuwa ameficha jambo kwa hofu kubwaβ€”alimpa msichana mimba. Msichana huyo alitoka kwenye familia tajiri sana, na hatukujua kabisa kuhusu ujauzito huo hadi...

Published 3 months ago πŸ‘ 181 πŸ’¬ 0

Nilimpa mume wangu figo yangu. Mwaka mmoja baadaye, aliwasilisha talaka. Ilivunja moyo wangu kabisa. Tulifika mahakamani, na kila mtu alitarajia hasira, lawama, vurugu β€” mwanamke aliyetoa sehemu ya mwili wake, na mwanaume aliyeondoka mara t...

Join to keep reading

Sign in to unlock more confessions

You've hit the guest limit. Create an account or log in to keep scrolling.