Naona numoenea mume wangu kwa kuchepuka sana na huyu mwanaume wa pembeni anaitwa Robert, nimeamua kutaja jina lake la kwanza ili mnielewe. yani mume wangu ni mpole na mkarimu lakini najiona shetani, sijui nifanyeje..
Mimi ni mwanamke miaka 39 na nimeolewa na mume wangu ananipenda vizuri tu, na wala hakuna shida yoyote nyumbani. Tuna nyumba yetu na usafiri wetu wa familia, yani tunajiweza vizuri tu.
Shida ilikuja kwangu, sasa sijui ni upweke au ndo shetani maana hata nikifikiria leo sijui niliyoyafanya yametokea wapi au yalianzaje. mume wangu anamiliki mgahawa mkubwa tu na mara nyingi hua anashinda huko mpaka usiku wa manane, na mimi sehemu kubwa ni mama wa nyumbani lakini hua nauza uza vitu vya kike mtandaoni na nikipata wateja nafanya delivery, muda mwingi hua nipo nyumbani.
Nafikiri hii kuboreka ndo ikanifanya niingie njia mbaya, nilikutana na huyu mwanaume siku moja nikiwa natembea zangu nje tu ya maeneo ya nyumbani, wala sikua naenda mbali, alisimamisha gari lake na nilipomuona kuna hali fulani ilikuja kama mgando hivi na kutamani kumsikiliza zaidi, sasa sijui alinikua na dawa huyu jamaa, yani kila alichosema mimi nakubali na mwili unasisimka sana, nikampa namba yangu akaondoka, sikuelewa kilichotokea na alinifanya niifikirie sana ile kitu, hapo ilikua kama mwaka 2021 (kama miaka mitano nyuma huko) kutokea sasa 2026.
Basi nikaachana nae , na nikaendelea na maisha, tuna watoto watatu sasa nyumbani ila wawili kiukweli ni wa huyu mwanaume wa pembeni na ubaya huyu Robert anajua vizuri kua ni wake.
Turudi ilipoanzia, basi akawa ananitumia jumbe za kunisalimia na kunijulia hali, baada ya muda mfupi ikaenda hadi tukawa tunaonana mara kwa mara maeneo mbali kidogo na mtaani sababu nilimwambia nimeolewa na kipindi hiko nilikua na mtoto mmoja tayari na mume wangu.
Haikua ngumu kuonana nae sababu mume wangu alikua anajua biashara zangu ni za kufanya delivery, kwahiyo hata akipiga simu nilikua namwambia tu nimekuja kwa mteja maeneo fulani na alikua haulizi sana.
Mambo yakazidi kupamba moto na mapenzi yakanoga, huyu jamaa alikua anafanya mapenzi kama kichaa, yani kila tukionana ujue ni shoo, kila tukionana shoo, na alikua anajiweza vizuri hivyo kila tukionana alikua akinipa pesa nzuri tu, laki 3 4 5 hizi kwa sana, yaani alinichanganya sana mpaka nikawa najisahau kutumia kinga na akawa ni kuweka ndani kila tukionana.
Mume wangu hakujua sababu kiukweli kufanya mapenzi na mume wangu yaani labda mara mbili ikizidi sana tatu kwa mwezi, maana alikua busy na mgahawa wake, ni kweli alikua anatupambania familia yake lakini na kuboreka kwangu nikawa nazama taratibu kwa huyu Robert maana yeye ilikua hata mara mbili kwa wiki na naridhika sana, sijui kajifunzia wapi.
Tuliendelea na hiyo tabia na mimi nikaendelea kukuza biashara yangu kupitia zile pesa alizokua ananipa na nikawa nasaidia maendeleo ya nyumbani, hata siku nyingine namwambia mume wangu asilipe ada ya mtoto mimi nitalipia, alikua akifurahi na kunisifu kua biashara yangu inalipa, angejuaaa kua kuna mwanaume mwingine anakula tunda lake sijui ingekuaje.
Tuliendelea hivyo ikapita miezi miwili, nikawa sioni siku zangu, maana mwezi wa kwanza ikapita patupu, wa pili patumu alafu nikaanza kutapika, nikajua tayari mimba, na hapo mume wangu tumegusana mara mbili tu, yaani mwezi uliopita mara moja na huo wa pili mara moja, nikawaza sana nikahisi tu hii itakua mimba ya huyu robert. lakini nikamwambia mume wangu kua nina mimba na alifurahi, maisha yakaendelea, clinic zikaanza.
Ila nilimwambia huyu jamaa kua mimba yake na kiukweli pesa ananitumia vizuri maana ni mfanya biashara mzuri tu na ana familia yake vizuri ila mahusiano yetu moto. na kipindi nina ujauzito sikuacha kuonana nae, mapenzi yaliendelea na tuliendelea kulana shoo mpaka nilivyojifungua, mtoto alikua mzuri, na uzuri alifanana fanana na mume wangu sababu huyu jamaa anafanana kwa mbali na mume wangu.
nikalea uzazi, baada ya miezi saba, shoo zikaendelea na huyu jamaa, yani alikua kama kaniroga, sielewi, yaani nasema hivyo mpaka leo nipo nae na tunaendelea, ubaya anajua sana yaani...
baada ya mwaka na nusu nikapata mimba ya pili ya huyu jamaa na kama kawaida nikamwambia mume wangu akaikubali, na matunzo yakaendelea.
sasa nina watoto watatu, wawili ni wa huyu jamaa, na mmoja tu ndo wa mume wangu, najisikia aibu siku nyingine tukiwa tunafanya mapenzi na mume wangu maana najua kesho yake ntaenda kwa Robert kutwangwa vizuri. sijui nifanyeje, naona ni kama siwezi kutoka kwenye huu mchezo, na nahofia siku mume wangu akijua kua watoto sio wake, sijui itakuaje hiyo siku Mungu aepushie mbali. lakini nashindwa kumuacha huyu Robert ananifanya vizuri sana, yani tulishafanya hadi njia sizizoruhusiwa, ananichanganya sana kiukweli.
Najiona shetani, sawa nimeumbika vizuri mweupe, lakini namkosea sana mume wangu, yeye ndo alitakiwa anifaidi kila kona, lakini huyu mwanaume ndo ananikula na kunikula tena, na sioni nikimkatalia na hivi nina watoto wake wawili... yaniii...
Keep reading
Sign in to read the full confession
Create an account or log in to unlock the rest of this story.